The United Republic of Tanzania

SELF Microfinance Fund

Habari

SELF Microfinance na Benki ya Kilimo TADB


SELF Microfinance Fund na Benki ya Kilimo TADB wakisaini mkataba wa pamoja ili kuwawezesha wakulima kupata mikopo yenye masharti nafuu kutoka SELF Microfinance Fund kwa udhamini wa TADB.