The United Republic of Tanzania

SELF Microfinance Fund

Habari

Mkuu wa mkoa wa Tanga Mheshimiwa Omary katika matukio mbalimbali ya uzinduzi matawi manne ya Mfuko wa SELF.


Mnamo tarehe 02/09/2022 mkuu wa mkoa wa Tanga Mheshimiwa Omary Mgunda amezindua rasmi matawi manne ya Mfuko wa SELF yaliyopo mkoa wa Tanga, Mtwara, Morogoro na Iringa.

Hii ni fursa kubwa kwa wakazi wa mikoa hii kujipatia mikopo yenye masharti nafuu.

Katika uzinduzi huo mgeni rasmi aliambatana na viongozi mbalimbali wa serikaliakiwemo Mkuu wa wilaya ya Tanga, Naibu Mstahiki Meya na Wakuu wa vyombo vya Usalama wa Mkoa pamoja na Bodi ya Wakurugenzi wa Mfuko wa SELF wakiongozwa na mwenyekiti wa Bodi Ndugu Paul Sangawe.