The United Republic of Tanzania

SELF Microfinance Fund

Habari

NAIBU KATIBU MKUU AKUTANA NA MENEJIMENTI YA MFUKO WA SELF


Mnamo tarehe 06/09/2022, Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha na Mipango amekutana na kufanya mazungumzo na Menejimenti ya Mfuko wa SELF. Kikao hiki kililenga katika kuboresha utendaji kazi ili kuwafikia watanzania wengi Zaidi.

Kwa upande ake, Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko ndugu Mudith Cheyo amemshukuru Naibu Katibu Mkuu kwa kutembelea Mfuko wa SELF na kuahidi kutekeleza mapendekezo yote aliyoyatoa.