The United Republic of Tanzania

SELF Microfinance Fund

Matangazo

Title : TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI - AFISA MAUZO (SALES EXECUTIVE)

Mfuko wa SELF ni Taasisi ya Serikali iliyo chini ya Wizara ya Fedha na Mipango inayotoa huduma za mikopo yenye masharti nafuu pamoja na bima. Mfuko unakaribisha maombi ya kazi kwa Watanzania wenye sifa na uwezo za kujaza nafasi 5 za Afisa mauzo wa Bima (Sales Executive) kwa kipindi /muda maalum (...