SELF-MF-LOGO

News :

Katika kuadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja, Afisa Mtendaji Mkuu wa SELF MF, Ms. Santiel M. Yona (kulia),
alimkabidhi zawadi mwakilishi wa watumishi wa Mfuko wa SELF, ikiwa ni ishara ya kuthamini mahusiano na
ushirikiano kati ya taasisi na wateja wake.

Maadhimisho haya yanatukumbusha umuhimu wa kusikiliza wateja, kuelewa mahitaji yao na kuendelea
kuboresha
huduma tunazotoa ili kuwapatia uzoefu bora zaidi.

SELF MF tunaamini kuwa huduma bora hujengwa kwa kusikiliza, kuheshimu na kuthamini kila mteja.

Asanteni kwa kuendelea kutuamini. Tutaendelea kwenda hatua ya ziada katika kuwahudumia.

SELF Microfinance Fund — The Extra Mile.

Location

Barack Obama Drive, Plot No. 20, House No. 43

Contact Us

+255 (0) 222 211 880

About Us

SELF Microfinance Fund offers nationwide financial inclusion support through affordable loans, training, and insurance for individuals, MSMEs, and institutions.
phonemap-markerlist linkedin facebook pinterest youtube rss twitter instagram facebook-blank rss-blank linkedin-blank pinterest youtube twitter instagram