Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa Mfuko wa SELF akiwasilisha taarifa ya utendaji wa Mfuko katika mkutano mkuu wa mwaka
Mnamo Tarehe 16/02/2023 Mfuko wa SELF umefanya Mkutano Mkuu wa Mwaka ambao umeongozwa na ofisi ya Msajili wa Hazina, pichani Wawakilishi wa Ofisi ya Msajili wa Hazina, Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mfuko wa SELF na Manajimenti ya Mfuko wa SELF.
Pichani Wawakilishi wa Ofisi ya Msajili wa Hazina wakijadili taarifa ya Utendaji Mfuko wa SELF
Uzinduzi wa matawi manne yaliyopo Tanga, Mtwara, Morogoro na Iringa. Hafla ya uzinduzi ilifanyika Mkoani Tanga chini ya mgeni rasmi Mheshimiwa Omary
Mnamo tarehe 02/09/2022 mkuu wa mkoa wa Tanga Mheshimiwa Omary Mgunda amezindua rasmi matawi manne ya Mfuko wa SELF yaliyopo mkoa wa Tanga, Mtwara, Morogoro na Iringa.
Board Members and Management
Wanufaika wa mafuzo ya stakabadhi Ghalani chama cha ushirika pawaga
Bodi ya Wakurugenzi na Menejimenti ya mfuko wa SELF kwenye ziara ya kuwajengea uwezo chama cha ushirika pawaga
Mnufaika wa Mikopo ya SELF MF Waasili Asilia Kwenye Maonyesho ya sabasaba 2020