Mfuko wa SELF umeingia mahusiano na shirika la Ujerumani hapa nchini la DSIK.
Uhusiano huu unatarajia kuongeza ujuzi na huduma za mitaji kwa ajili ya
Biashara zenye kutunza mazingira na kuongeza matumizi ya nishati
safi/mbadala.Tunatarajia kuongeza upatikanaji wa mitaji zaidi
Kwa wananchi kama mojawapo ya utekelezaji Wa serekali wa Vision 2050.
