SELF-MF-LOGO

News :

Katika kuimarisha uwezo wa Asasi Ndogo za Kifedha, tarehe 20 Novemba 2026, SELF Microfinance Fund (SELF MF),
Tawi la Dar es Salaam, kwa kushirikiana na Kurugenzi ya Maendeleo ya Biashara na Masoko pamoja na Kitengo
cha Ufuatiliaji na Ukusanyaji Madeni, imeandaa warsha kwa Wamiliki, Bodi za Wakurugenzi na Menejimenti za
Asasi Ndogo za Kifedha jijini Dar es Salaam.

Warsha hiyo iliyoshirikisha zaidi ya washiriki 70, ilitoa elimu ya fedha na bima katika maeneo mbalimbali
yenye lengo la kuimarisha uelewa, uwezo na ufanisi wa Asasi hizo katika uendeshaji na maendeleo ya taasisi zao.

SELF MF inaendelea kujitolea katika kujenga uwezo wa wadau wa sekta ya fedha kupitia elimu,
huduma na ushirikiano wenye tija.

Location

Barack Obama Drive, Plot No. 20, House No. 43

Contact Us

+255 (0) 222 211 880
phonemap-markerlist linkedin facebook pinterest youtube rss twitter instagram facebook-blank rss-blank linkedin-blank pinterest youtube twitter instagram