SELF-MF-LOGO

News : MAADHIMISHO YA WIKI YA HUDUMA ZA FEDHA KITAIFA, JIJINI TANGA

SELF Microfinance Fund (SELF MF) imeshiriki Maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa yanayofanyika katika viwanja vya Usagara, Jijini Tanga, kwa kutoa elimu ya fedha na kuhamasisha matumizi sahihi ya huduma za kifedha. Kupitia ushiriki huu, wananchi wamepata fursa ya kujifunza kuhusu mikopo, akiba, bima na huduma mbalimbali zinazotolewa na SELF MF kwa ajili ya kuimarisha maendeleo ya kiuchumi.

 

News & Events

MAADHIMISHO YA WIKI YA HUDUMA ZA FEDHA KITAIFA, JIJINI TANGA
Salaam za Pongezi
Salaam za Pongezi
Salaam za Pongezi
Salaam za Pongezi

Location

Barack Obama Drive, Plot No. 20, House No. 43

Contact Us

+255 (0) 222 211 880

About Us

SELF Microfinance Fund offers nationwide financial inclusion support through affordable loans, training, and insurance for individuals, MSMEs, and institutions.
phonemap-markerlist linkedin facebook pinterest youtube rss twitter instagram facebook-blank rss-blank linkedin-blank pinterest youtube twitter instagram