Powering a sustainable future — this loan is designed to support individuals, businesses, and institutions investing in clean and renewable energy solutions such as solar systems, biogas, and energy-efficient technologies. It enables access to affordable financing for greener, cleaner, and more sustainable energy use — even without upfront capital.
1
Purpose
The purpose of this loan is to enable citizens to afford the cost of purchasing clean and alternative energy equipment such as ethanol stoves, LPG gas, pressure cookers, and solar devices. The main goal is to reduce dependence on firewood and charcoal, improve public health, and contribute to environmental conservation by promoting the use of safe, affordable, and sustainable energy.
2
Target
This loan is provided to households, entrepreneurs, community groups, small institutions such as schools and dispensaries, as well as small-scale traders who use or sell clean energy equipment. The target beneficiaries are those who require financial support to transition to clean energy use, whether for domestic purposes or economic activities.
3
Loan Feature
Loan Term: Up to 24 months.
Repayment Schedule: Monthly.
Loan Amount: Up to TZS 2 billion.
Mahitaji ya Kuwasilisha Kufanya Tathmini wa Mkopo
Benki
Leseni hai ya Biashara ya Manispaa/Halmashauri.
Leseni ya Benki kutoka Benki Kuu Ya Tanzania.
Hati Safi ya TRA (Tax Clearance Certificate).
Hati ya Usajili Kampuni kutoka BRELA.
Hati/Memoranda na Makala ya Makubaliano - Memorandum and Articles of Association (MEMART)
Mrejesho wa kila mwaka BRELA.
Nakala za Cheti cha Usajili VAT na Utambulisho wa Mlipa Kodi (TIN).
Azimio la Bodi Kukopa.
Sera ya Mikopo
Taarifa ya Ukaguzi wa Fedha isiopungua mwaka mmoja nyuma.
Makadirio ya Mzunguko wa Fedha wa mwaka/miaka ijayo.
Mpango wa Biashara (Business plan)
Makampuni ya Fedha Ndogo
Leseni hai ya Biashara ya Manispaa/Halmashauri.
Hati Safi ya TRA (Tax Clearance Certificate).
Wasifu (CVs) za Bodi ya Wakurugenzi na Timu ya Usimamizi (Management Team).
Hati ya Usajili Kampuni kutoka BRELA.
Hati/Memoranda na Makala ya Makubaliano - Memorandum and Articles of Association (MEMART).
Mrejesho wa kila mwaka wa BRELA.
Hati za Wanahisa (Shareholders Share Certificate).
Nakala za Cheti cha Usajili VAT na Utambulisho wa Mlipa Kodi (TIN).
Azimio la Bodi Kukopa.
Sera ya Mikopo.
Taarifa ya Ukaguzi wa Fedha isiopungua mwaka mmoja nyuma.
Makadirio ya Mzunguko wa Fedha wa mwaka/miaka ijayo.
Mpango wa Biashara (Business Plan).
SACCOS
Leseni hai ya Biashara ya Manispaa/Halmashauri.
Hati Safi ya TRA (Tax Clearance Certificate).
Wasifu (CVs) za Bodi ya Wakurugenzi na Timu ya Usimamizi (Management Team).
Hati ya Usajili Kampuni kutoka BRELA.
Cheti cha Dhima ya Juu (Certificate of Maximum Liability).
Azimio la Bodi Kukopa.
Sera ya Mikopo.
Taarifa ya Ukaguzi wa Fedha isiopungua mwaka mmoja nyuma.
Taarifa ya Ukaguzi wa Fedha ya COASCO isiopungua mwaka mmoja nyuma.
Makadirio ya Mzunguko wa Fedha wa mwaka/miaka ijayo.
SELF Microfinance Fund offers nationwide financial inclusion support through affordable loans, training, and insurance for individuals, MSMEs, and institutions.